Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 30:1-5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 “Utajenga madhabahu ya kufukizia uvumba;+ utaijenga kwa mbao za mshita.+ 2 Itakuwa ya mraba; urefu wa mkono mmoja,* upana wa mkono mmoja, na kimo cha mikono miwili. Pembe zake zitakuwa sehemu ya madhabahu hiyo.+ 3 Utaifunika kwa dhahabu safi: sehemu yake ya juu, pande zote kuizunguka, na pembe zake; nawe utatengeneza ukingo wa dhahabu kuizunguka. 4 Pia, utaitengenezea pete mbili za dhahabu chini ya ukingo wake kwenye pande zake mbili zinazoelekeana, na pete hizo zitashikilia fito za kubebea madhabahu. 5 Tengeneza fito za mshita na kuzifunika kwa dhahabu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki