Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 38:9-11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Kisha akatengeneza ua.+ Upande wa kusini wa ua huo, alitengeneza mapazia yanayoning’inia ya kitani bora kilichosokotwa yenye urefu wa mikono 100.+ 10 Ulikuwa na nguzo 20 na vikalio 20 vya shaba, na kulabu za nguzo hizo na vitanzi* vyake vilikuwa vya fedha. 11 Pia, kulikuwa na mapazia yanayoning’inia upande wa kaskazini yenye urefu wa mikono 100. Nguzo zake 20 na vikalio vyake 20 vilikuwa vya shaba. Lakini kulabu za nguzo hizo na vitanzi* vyake vilikuwa vya fedha.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki