19 Lakini mimi mwenyewe ninajua vema kwamba mfalme wa Misri hatawaruhusu kwenda asipolazimishwa kwa mkono wenye nguvu.+20 Kwa hiyo nitalazimika kuunyoosha mkono wangu na kuipiga Misri kwa matendo yangu yote ya ajabu nitakayofanya nchini humo, kisha atawaruhusu mwondoke.+