-
Kutoka 10:4, 5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Kwa maana ukiendelea kukataa kuwaruhusu watu wangu waende zao, kesho nitaleta nzige ndani ya mipaka yenu. 5 Nao wataifunika ardhi yote, hivi kwamba hamtaweza kuiona ardhi. Watakula kabisa mimea ambayo haikuharibiwa na mvua ya mawe ambayo mlibaki nayo, nao watakula miti yenu yote inayomea shambani.+
-