Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 19:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Waliondoka Refidimu+ wakafika katika nyika ya Sinai na kupiga kambi nyikani. Waisraeli walipiga kambi huko mbele ya mlima.+

  • Kumbukumbu la Torati 4:11, 12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 “Basi mlikaribia na kusimama chini ya mlima, na mlima huo ulikuwa ukiwaka moto uliofika mpaka mbinguni; kulikuwa na giza, wingu, na utusitusi mzito.+ 12 Yehova akaanza kuzungumza nanyi kutoka katika moto.+ Mlisikia maneno, lakini hamkuona umbo lolote+—kulikuwa na sauti tu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki