Kumbukumbu la Torati 4:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 “Kwa hiyo mkaja karibu na kusimama chini ya mlima, nao mlima ulikuwa ukiwaka moto mpaka katikati ya mbingu; kulikuwa na giza, wingu na weusi mzito.+
11 “Kwa hiyo mkaja karibu na kusimama chini ya mlima, nao mlima ulikuwa ukiwaka moto mpaka katikati ya mbingu; kulikuwa na giza, wingu na weusi mzito.+