16 “Lakini akikuambia, ‘Sitakuacha!’ kwa sababu anakupenda wewe na familia yako, kwa maana amefurahia kuwa pamoja nawe,+ 17 utachukua msumari na kutoboa sikio lake kwa msumari huo mpaka upenye mlangoni, naye atakuwa mtumwa wako daima. Utamfanyia kijakazi wako vivyo hivyo.