-
Kutoka 21:5, 6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Lakini mtumwa huyo akisisitiza hivi: ‘Nampenda bwana wangu, mke wangu, na wanangu; sitaki kuachiliwa huru,’+ 6 ni lazima bwana wake amlete mbele za Mungu wa kweli. Kisha bwana huyo atamleta kwenye mlango au kwenye mwimo wa mlango na kulitoboa sikio lake kwa sindano, naye atakuwa mtumwa wake maisha yake yote.
-