Kutoka 21:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 basi bwana wake atamleta karibu na Mungu wa kweli naye atamleta kwenye mlango au kwenye mwimo wa mlango; naye bwana wake atalichoma sikio lake na kulitoboa kwa sindano, naye atakuwa mtumwa wake mpaka wakati usio na kipimo.+ Kutoka Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 21:6 w10 1/15 4 Kutoka Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 21:6 Mnara wa Mlinzi (2010),1/15/2010, uku. 4
6 basi bwana wake atamleta karibu na Mungu wa kweli naye atamleta kwenye mlango au kwenye mwimo wa mlango; naye bwana wake atalichoma sikio lake na kulitoboa kwa sindano, naye atakuwa mtumwa wake mpaka wakati usio na kipimo.+