-
Kutoka 21:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 ni lazima bwana wake amlete mbele za Mungu wa kweli. Kisha bwana huyo atamleta kwenye mlango au kwenye mwimo wa mlango na kulitoboa sikio lake kwa sindano, naye atakuwa mtumwa wake maisha yake yote.
-