Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waebrania 9:18-20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Kwa hiyo, lile agano la zamani halikuanza kutumika* bila damu. 19 Kwa maana Musa alipowatajia watu wote kila amri ya Sheria, alichukua damu ya wale ng’ombe dume wachanga na ya wale mbuzi, pamoja na maji, sufu nyekundu, na hisopo, na kukinyunyizia kile kitabu* na watu wote, 20 akisema: “Hii ndiyo damu ya agano ambalo Mungu amewaamuru mlishike.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki