Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 37:1-5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 Kisha Bezaleli+ akatengeneza sanduku la agano+ kwa mbao za mshita. Lilikuwa na urefu wa mikono miwili na nusu* na upana wa mkono mmoja na nusu na kimo cha mkono mmoja na nusu.+ 2 Akalifunika ndani na nje kwa dhahabu safi na kutengeneza ukingo wa dhahabu kulizunguka.+ 3 Kisha akalitengenezea pete nne za dhahabu na kuzifunga sehemu ya juu ya miguu yake minne, pete mbili upande mmoja na pete mbili upande wa pili. 4 Halafu akatengeneza fito za mshita na kuzifunika kwa dhahabu.+ 5 Akazitia fito hizo kwenye zile pete zilizo pande mbili za Sanduku hilo ili zitumiwe kulibeba.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki