Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 37:10-15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Kisha akatengeneza meza ya mbao za mshita.+ Ilikuwa na urefu wa mikono miwili, upana wa mkono mmoja, na kimo cha mkono mmoja na nusu.+ 11 Akaifunika kwa dhahabu safi na kutengeneza ukingo wa dhahabu kuizunguka. 12 Kisha akatengeneza utepe wenye upana wa kiganja kimoja* kuizunguka na ukingo wa dhahabu kuzunguka utepe huo. 13 Pia, akaitengenezea pete nne za dhahabu na kuzitia kwenye pembe nne za miguu yake minne. 14 Pete hizo zilikuwa karibu na utepe ili fito za kubebea meza hiyo zitiwe humo. 15 Halafu akatengeneza fito za mshita na kuzifunika kwa dhahabu ili zitumiwe kubebea meza hiyo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki