Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 50:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  4 Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova amenipa ulimi wa waliofundishwa,*+

      Ili nijue jinsi ya kumjibu* aliyechoka kwa neno linalofaa.*+

      Yeye huniamsha asubuhi baada ya asubuhi;

      Huliamsha sikio langu ili lisikilize kama wale waliofundishwa.+

  • Marko 13:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Na watakapokuwa wakiwapeleka kuwashtaki, msihangaike kuhusu jambo mtakalosema; bali semeni jambo mtakalopewa saa hiyo, kwa maana si ninyi mnaosema, bali ni roho takatifu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki