-
Kutoka 30:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 madhabahu ya dhabihu za kuteketezwa na vyombo vyake vyote, na lile beseni pamoja na kinara chake.
-
-
Mambo ya Walawi 8:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Baada ya hayo akanyunyiza kiasi fulani cha mafuta hayo juu ya madhabahu mara saba na kuitia mafuta madhabahu, vyombo vyake vyote, na pia beseni na kinara chake, ili kuvitakasa.
-