-
Kutoka 19:12, 13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Ni lazima uwawekee watu mipaka kuzunguka mlima huu na uwaambie, ‘Jihadharini msipande mlimani wala kugusa ukingo wake. Yeyote atakayeugusa mlima huu hakika atauawa. 13 Mkono wa yeyote usimguse, atapigwa mawe au kuchomwa kwa silaha.* Awe ni mnyama au mwanadamu, hataishi.’+ Lakini pembe ya kondoo dume+ ikipigwa watu wanaweza kuukaribia mlima.”
-