Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 4:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Kisha kuhani aliyetiwa mafuta+ atachukua kiasi fulani cha damu ya ng’ombe dume huyo na kuileta ndani ya hema la mkutano;

  • Mambo ya Walawi 10:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Sasa angalieni! Damu yake haijaletwa mahali patakatifu.+ Mlipaswa kula dhabihu hiyo mahali patakatifu, kama nilivyoamriwa.”

  • Mambo ya Walawi 16:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 “Yule ng’ombe dume wa dhabihu ya dhambi na yule mbuzi wa dhabihu ya dhambi, ambao damu yao ililetwa mahali patakatifu ili itumiwe kufunika dhambi, watapelekwa nje ya kambi, na ngozi zao na nyama yao na mavi yao vitateketezwa motoni.+

  • Waebrania 13:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kwa maana miili ya wanyama ambao kuhani mkuu hupeleka damu yao ndani ya mahali patakatifu kama toleo la dhambi huteketezwa nje ya kambi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki