Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 5:25, 26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Kuhani atachukua toleo la nafaka la wivu+ kutoka mikononi mwa mwanamke huyo na kulitikisa kwenda mbele na nyuma mbele za Yehova, kisha atalileta karibu na madhabahu. 26 Halafu kuhani atachukua mkono mmoja wa toleo la nafaka ili kuwa dhabihu ya kumbukumbu na kuliteketeza juu ya madhabahu ili lifuke moshi,+ kisha atamnywesha mwanamke huyo maji hayo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki