-
Hesabu 5:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 ni lazima mwanamume huyo ampeleke mke wake kwa kuhani pamoja na toleo kwa ajili yake, yaani, sehemu ya kumi ya kipimo cha efa* ya unga wa shayiri. Hapaswi kumimina mafuta juu ya toleo hilo wala kutia ubani juu yake, kwa sababu ni toleo la nafaka la wivu, toleo la nafaka ambalo ni kumbukumbu la hatia.
-