Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 28:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Mshipi uliofumwa+ unaoshikilia kwa nguvu efodi unapaswa kutengenezwa kwa vitu hivyohivyo, yaani, dhahabu, nyuzi za bluu, sufu ya rangi ya zambarau, kitambaa cha rangi nyekundu, na kitani bora kilichosokotwa.

  • Kutoka 29:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Kisha utachukua yale mavazi+ na kumvisha Haruni kanzu, joho la efodi lisilo na mikono, efodi, na kifuko cha kifuani, nawe utamfunga vizuri kabisa kiunoni ule mshipi uliofumwa wa efodi.+

  • Kutoka 39:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Kisha wakatengeneza pete nyingine mbili za dhahabu upande wa mbele wa efodi, chini ya vipande viwili vya mabegani vya efodi, karibu na mahali inapoungana, juu ya mshipi uliofumwa wa efodi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki