Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 29:15-18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 “Kisha utamchukua kondoo dume mmoja, naye Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo kondoo dume.+ 16 Mchinje kondoo dume huyo, uchukue damu yake na kuinyunyiza pande zote za madhabahu.+ 17 Mkate kondoo dume huyo vipandevipande, uoshe matumbo yake+ na miguu yake, na kuvipanga vipande hivyo pamoja na kichwa chake. 18 Utamchoma moto huyo kondoo mzima ili afuke moshi juu ya madhabahu. Ni dhabihu ya kuteketezwa kwa Yehova, harufu inayompendeza.*+ Ni dhabihu kwa Yehova inayochomwa kwa moto.

  • Mambo ya Walawi 1:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha dhabihu hiyo ya kuteketezwa, nayo itakubaliwa kwa niaba yake ili kufunika dhambi zake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki