31 “Utamchukua yule kondoo dume wa kumweka rasmi kuhani na kuichemshia nyama yake mahali patakatifu.+32 Haruni na wanawe wataila+ nyama ya kondoo dume huyo na mikate iliyo katika kikapu kwenye mlango wa hema la mkutano.
13 Je, hamjui kwamba watu wanaofanya kazi takatifu hula vitu vya hekalu, na kwamba wale wanaohudumu kwa kawaida kwenye madhabahu hupata fungu lao kutoka kwenye madhabahu?+