-
Mambo ya Walawi 8:14, 15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Kisha akamleta ng’ombe dume wa dhabihu ya dhambi, Haruni na wanawe wakaweka mikono yao juu ya kichwa cha ng’ombe dume huyo wa dhabihu ya dhambi.+ 15 Musa akamchinja, akachukua damu yake+ kwa kidole chake na kuzipaka pembe zote za madhabahu, akaitakasa madhabahu kutokana na dhambi, lakini damu iliyobaki aliimwaga kwenye msingi wa madhabahu, ili aitakase na kutoa juu yake dhabihu ya kufunika dhambi.
-