-
Kumbukumbu la Torati 14:12-19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Lakini hampaswi kuwala ndege wafuatao: tai, furukombe, tumbusi mweusi,*+ 13 mwewe mwekundu, mwewe mweusi, kila aina ya ndege mbua, 14 kila aina ya kunguru, 15 mbuni, bundi, shakwe, kila aina ya kipanga, 16 bundi mdogo, bundi mwenye masikio marefu, batamaji, 17 mwari, tumbusi, mnandi, 18 korongo, kila aina ya kulastara, hudihudi, na popo. 19 Pia, kila kiumbe* mwenye mabawa anayeishi katika makundi makubwa si safi kwenu. Hawapaswi kuliwa.
-