-
Mambo ya Walawi 14:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 “Kisha kuhani atachukua kiasi kidogo cha damu ya dhabihu ya hatia na kupaka ncha ya sikio la kulia la mtu anayejitakasa na kidole gumba cha mkono wake wa kulia na kidole gumba cha mguu wake wa kulia.
-