Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 15:14, 15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Siku ya nane, anapaswa kuchukua njiwa tetere wawili au hua wawili wachanga+ na kwenda mbele za Yehova, kwenye mlango wa hema la mkutano na kumpa kuhani ndege hao. 15 Kisha kuhani atamtoa ndege mmoja kwa ajili ya dhabihu ya dhambi na ndege wa pili kwa ajili ya dhabihu ya kuteketezwa, naye kuhani atamtolea mtu huyo dhabihu ya kufunika dhambi yake mbele za Yehova ili awe safi kutokana na umajimaji wake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki