Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 17:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Kwa maana uhai wa* kila kiumbe ni damu yake, kwa sababu uhai umo* ndani ya damu. Kwa hiyo, niliwaambia Waisraeli: “Hampaswi kula damu ya kiumbe yeyote kwa sababu uhai wa kila kiumbe umo katika damu yake. Mtu yeyote anayekula damu atauawa.”+

  • Kumbukumbu la Torati 12:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Ila tu mwazimie kwa uthabiti kutokula damu,+ kwa sababu damu ndiyo uhai,* nanyi hampaswi kula uhai*+ pamoja na nyama.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki