Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 13:6-9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 “Ikiwa ndugu yako, mwana wa mama yako, au mwana wako au binti yako au mke wako mpendwa au rafiki yako wa karibu sana* atajaribu kukushawishi kwa siri, akisema, ‘Twende tukaabudu miungu mingine,’+ miungu ambayo wewe wala mababu zako hamwijui, 7 kutoka miongoni mwa miungu ya mataifa yanayowazunguka, yaliyo karibu nanyi au mbali nanyi, kutoka mwisho mmoja wa nchi mpaka mwisho mwingine wa nchi, 8 usikubali ushawishi wake wala kumsikiliza,+ wala usimsikitikie wala kumhurumia wala kumlinda; 9 badala yake, ni lazima umuue.+ Mkono wako unapaswa kuwa wa kwanza kumuua, kisha mikono ya watu wote itafuata.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki