Isaya 58:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Ni kumgawia aliye na njaa mkate wako,+Kuwaleta maskini na wasio na makao nyumbani mwako,Kumvisha aliye uchi unapokutana naye,+Na kutowageuzia mgongo watu wako wa ukoo.
7 Ni kumgawia aliye na njaa mkate wako,+Kuwaleta maskini na wasio na makao nyumbani mwako,Kumvisha aliye uchi unapokutana naye,+Na kutowageuzia mgongo watu wako wa ukoo.