Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 9:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Mtu atakata upande wa kulia

      Lakini bado atakuwa na njaa,

      Na mtu atakula upande wa kushoto

      Lakini hatashiba.

      Kila mtu atainyafua nyama ya mkono wake mwenyewe,

  • Mika 6:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Utakula lakini hutashiba;

      Utahisi njaa.+

      Vitu utakavyotoa, hutaenda navyo kwa usalama,

      Na utakavyoenda navyo, nitaviharibu kwa upanga.

  • Hagai 1:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Mmepanda mbegu nyingi, lakini mnavuna kidogo.+ Mnakula, lakini hamshibi. Mnakunywa, lakini hamtosheki. Mnavaa nguo, lakini hakuna yeyote anayepata joto. Kibarua huweka mshahara wake katika mfuko uliojaa mashimo.’”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki