Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 4:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Yehova atawatawanya miongoni mwa mataifa,+ na ni watu wachache tu kati yenu watakaookoka+ miongoni mwa mataifa ambayo Yehova atawafukuza ninyi mwende miongoni mwao.

  • Kumbukumbu la Torati 28:48
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 48 Yehova atawatuma maadui wenu wawashambulie, nanyi mtawatumikia+ mkiwa na njaa+ na kiu na uchi na mkiwa maskini kabisa.* Ataweka nira ya chuma kwenye shingo zenu mpaka atakapokuwa amewaangamiza.

  • Yeremia 42:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Na watu wote walioazimia kwenda Misri ili kukaa huko watakufa kwa upanga, kwa njaa kali, na kwa ugonjwa hatari. Hakuna yeyote kati yao atakayeokoka au kuponyoka msiba nitakaowaletea.”’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki