Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 12:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Waambie Waisraeli, ‘Mwanamke akipata mimba na kuzaa mtoto wa kiume, mwanamke huyo hatakuwa safi kwa siku saba, atakuwa kama anavyokuwa katika siku zake za hedhi.+

  • Mambo ya Walawi 13:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Kuhani atachunguza sehemu iliyoathiriwa ya ngozi. Ikiwa nywele za sehemu hiyo zimebadilika kuwa nyeupe na ugonjwa umepenya chini ya ngozi, huo ni ugonjwa wa ukoma. Kuhani atauchunguza na kutangaza kwamba mtu huyo si safi.

  • Mambo ya Walawi 15:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Yeye si safi kwa sababu ya umajimaji huo, iwe umajimaji huo unaendelea kutoka katika kiungo chake cha uzazi au umezuiwa kutoka, bado yeye si safi.

  • Hesabu 19:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Mtu yeyote anayemgusa mtu aliyekufa* hatakuwa safi kwa siku saba.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki