Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 27:11, 12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Ikiwa ni mnyama asiye safi+ ambaye hawezi kutolewa kwa Yehova, mnyama huyo atapelekwa mbele ya kuhani. 12 Halafu kuhani atakadiria thamani yake, ataamua ikiwa ni mzuri au mbaya. Thamani itakayokadiriwa na kuhani ndiyo itakayokuwa thamani ya mnyama huyo.

  • Mambo ya Walawi 27:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Ikiwa atalitakasa shamba lake baada ya mwaka wa Mwadhimisho wa Miaka 50, kuhani atakadiria bei kulingana na miaka inayobaki kabla ya mwadhimisho unaofuata wa miaka 50, naye atapunguza thamani iliyokadiriwa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki