- 
	                        
            
            Kumbukumbu la Torati 14:7, 8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
7 Lakini hampaswi kuwala wanyama wafuatao wanaocheua au wenye kwato zilizogawanyika: ngamia, sungura, na wibari, kwa sababu wanacheua lakini kwato zao hazijapasuka. Wao si safi kwenu.+ 8 Pia, msimle nguruwe kwa sababu ana kwato zilizopasuka lakini hacheui. Yeye si safi kwenu. Msile kamwe nyama yao wala kugusa mizoga yao.
 
 -