Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 27:9, 10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “‘Ikiwa nadhiri inahusisha mnyama anayestahili kutolewa kwa Yehova, basi chochote kinachotolewa kwa Yehova kitakuwa kitu kitakatifu. 10 Hawezi kumbadilisha mnyama aliyemweka kuwa nadhiri, yaani, achukue mnyama mzuri na kumtoa mbaya, au achukue mbaya na kumtoa mzuri. Lakini akimbadilisha mnyama huyo na mwingine, wanyama wote wawili watakuwa watakatifu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki