Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 14:29, 30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Maiti zenu zitaanguka katika nyika hii,+ naam, ninyi nyote mlioninung’unikia, kila mtu aliyeandikishwa mwenye umri wa kuanzia miaka 20 na zaidi.+ 30 Hakuna hata mmoja wenu atakayeingia katika nchi niliyoapa kwamba mtaishi ndani yake,+ isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune na Yoshua mwana wa Nuni.+

  • Yoshua 14:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Ndiyo sababu Hebroni limekuwa urithi wa Kalebu mwana wa Yefune Mkenizi mpaka leo, kwa sababu alimfuata Yehova Mungu wa Israeli kwa moyo wote.+

  • Yoshua 19:49
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 49 Basi wakamaliza kugawanya nchi ya urithi kulingana na maeneo yake. Kisha Waisraeli wakampa Yoshua mwana wa Nuni urithi kati yao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki