Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 14:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Lakini kwa sababu mtumishi wangu Kalebu+ alikuwa na roho tofauti naye aliendelea kunifuata kwa moyo wote, kwa hakika nitamwingiza katika nchi aliyoenda kuipeleleza, na wazao wake wataimiliki.+

  • Kumbukumbu la Torati 1:35, 36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 ‘Hakuna mtu hata mmoja wa kizazi hiki kiovu atakayeona nchi nzuri niliyoapa kwamba nitawapa baba zenu,+ 36 isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune. Yeye ataiona, nami nitampa yeye na wanawe nchi hiyo aliyoikanyaga kwa miguu yake, kwa sababu amenifuata mimi Yehova kwa moyo wote.*+

  • Yoshua 14:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Ingawa ndugu zangu walioenda pamoja nami waliwavunja watu moyo,* mimi nilimfuata Yehova Mungu wangu kwa moyo wote.*+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki