Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 29:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 “Hivi ndivyo vitu utakavyotoa kwenye madhabahu: kila siku, kwa kuendelea,+ utatoa wanakondoo dume wawili wenye umri wa mwaka mmoja.

  • Mambo ya Walawi 6:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “Mwamuru hivi Haruni na wanawe: ‘Hii ndiyo sheria kuhusu dhabihu ya kuteketezwa:+ Dhabihu ya kuteketezwa itakaa usiku kucha motoni juu ya madhabahu mpaka asubuhi, hakikisheni kwamba moto wa madhabahu unaendelea kuwaka.

  • Ezekieli 46:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Wanapaswa kumtoa mwanakondoo dume, toleo la nafaka, na mafuta kila asubuhi kama dhabihu nzima ya kuteketezwa ya kawaida.’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki