Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 22:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Hampaswi kutoa kitu chochote chenye kasoro,+ kwa sababu hamtapata kibali mkifanya hivyo.

  • Mambo ya Walawi 22:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Hampaswi kumtoa dhabihu mnyama yeyote aliye kipofu, aliyevunjika, aliyekatwa, aliyejeruhiwa, mwenye uvimbe, vipele, au mba; hampaswi kumtolea Yehova yeyote kati ya wanyama hao au kumtolea Yehova dhabihu za aina hiyo kwenye madhabahu yake.

  • Kumbukumbu la Torati 15:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Lakini ikiwa ana kasoro, yaani, ni mlemavu, ni kipofu, au ana kasoro nyingine kubwa, usimtoe dhabihu kwa Yehova Mungu wako.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki