27 “Nitafanya watu waniogope hata kabla hamjafika,+ nami nitawavuruga watu wote mtakaokutana nao, nami nitawafanya maadui wenu wote washindwe na kukimbia.*+
7 Nanyi hakika mtawakimbiza maadui wenu na kuwaua kwa upanga. 8 Watu watano kati yenu watawakimbiza maadui 100, na 100 watawakimbiza 10,000; mtawaua maadui wenu kwa upanga.+