Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 3:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “Yairi+ mwana wa Manase alichukua eneo lote la Argobu+ hadi kwenye mpaka wa Wageshuri na Wamaakathi,+ akaviita vijiji hivyo vya Bashani kwa jina lake mwenyewe, Hawoth-yairi,*+ mpaka leo.

  • Yoshua 13:29, 30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Pia, Musa akawapa urithi nusu ya watu wa kabila la Manase, ukawa urithi wao kulingana na koo zao.+ 30 Na eneo lao lilianzia Mahanaimu+ na eneo lote la Bashani, eneo lote la Mfalme Ogu wa Bashani, na vijiji vyote vya mahema vya Yairi+ kule Bashani, miji 60.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki