Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 15:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Nchi ambayo watu wa kabila la Yuda waligawiwa*+ kwa ajili ya koo zao ilifika kwenye mpaka wa Edomu,+ nyika ya Zini, hadi upande wa kusini kabisa wa Negebu.

  • Yoshua 16:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Na nchi ambayo wazao wa Yosefu+ waligawiwa*+ ilianzia Yordani huko Yeriko hadi kwenye vijito vilivyo upande wa mashariki wa Yeriko, na kupitia nyikani hadi Yeriko katika eneo lenye milima la Betheli.+

  • Yoshua 18:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kabila la Benjamini liligawiwa urithi wao kwa kura kulingana na koo zao, walipewa urithi kati ya kabila la Yuda+ na wazao wa Yosefu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki