Yoshua 1:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Eneo lenu litaanzia nyikani mpaka kwenye Mlima Lebanoni hadi ule mto mkubwa, Efrati, yaani, nchi yote ya Wahiti,+ mpaka kwenye Bahari Kuu,* upande wa magharibi.*+ Yoshua 15:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Mpaka wa magharibi ulikuwa Bahari Kuu*+ na pwani yake. Hiyo ndiyo iliyokuwa mipaka yote ya wazao wa Yuda kulingana na koo zao.
4 Eneo lenu litaanzia nyikani mpaka kwenye Mlima Lebanoni hadi ule mto mkubwa, Efrati, yaani, nchi yote ya Wahiti,+ mpaka kwenye Bahari Kuu,* upande wa magharibi.*+
12 Mpaka wa magharibi ulikuwa Bahari Kuu*+ na pwani yake. Hiyo ndiyo iliyokuwa mipaka yote ya wazao wa Yuda kulingana na koo zao.