Yoshua 15:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Na mpaka wa upande wa magharibi ulikuwa kwenye Bahari Kuu+ na nchi iliyo kando yake. Huu ndio uliokuwa mpaka wa wana wa Yuda kuzunguka pande zote kulingana na familia zao.
12 Na mpaka wa upande wa magharibi ulikuwa kwenye Bahari Kuu+ na nchi iliyo kando yake. Huu ndio uliokuwa mpaka wa wana wa Yuda kuzunguka pande zote kulingana na familia zao.