Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 13:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Tazama! Utapata mimba na kuzaa mwana; na hakuna wembe utakaogusa kichwa chake+ kwa sababu mtoto huyo atakuwa Mnadhiri wa Mungu tangu kuzaliwa,* naye atawaokoa Waisraeli kutoka mikononi mwa Wafilisti.”+

  • Waamuzi 16:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Mwishowe akamfunulia moyo wake na kumwambia, “Kichwa changu hakijawahi kamwe kuguswa na wembe, kwa kuwa mimi ni Mnadhiri wa Mungu tangu kuzaliwa.*+ Nikinyolewa, nguvu zangu zitanitoka, nami nitakuwa dhaifu kama wanadamu wengine wote.”

  • 1 Samweli 1:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Naye akaweka nadhiri hii: “Ee Yehova wa majeshi, ikiwa utayaona mateso yangu mimi mtumishi wako na kunikumbuka na usiponisahau mimi mtumishi wako, nawe unipe mtoto wa kiume,+ nitamtoa awe wa Yehova sikuzote za maisha yake, na hakuna wembe utakaogusa kichwa chake.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki