Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 6:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 “‘Siku zote atakazokuwa Mnadhiri hakuna wembe utakaogusa kichwa chake.+ Ataendelea kuwa mtakatifu kwa kuacha nywele za kichwa chake ziwe ndefu mpaka siku alizojitenga kwa ajili ya Yehova zitakapokwisha.

  • Waamuzi 13:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Tazama! Utapata mimba na kuzaa mwana; na hakuna wembe utakaogusa kichwa chake+ kwa sababu mtoto huyo atakuwa Mnadhiri wa Mungu tangu kuzaliwa,* naye atawaokoa Waisraeli kutoka mikononi mwa Wafilisti.”+

  • Waamuzi 13:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Lakini aliniambia, ‘Tazama! Utapata mimba na kuzaa mwana. Basi usinywe divai wala chochote chenye kileo, wala usile kitu chochote kisicho safi, kwa sababu mtoto huyo atakuwa Mnadhiri wa Mungu tangu kuzaliwa* mpaka kufa kwake.’”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki