-
Mambo ya Walawi 5:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Atawaleta kwa kuhani, naye kuhani atatoa ndege mmoja kwanza kwa ajili ya dhabihu ya dhambi, atamvunja shingo na kuacha kichwa kikining’inia.
-