17 Na Mungu akamsikiliza Lea na kumjibu, naye akapata mimba na baada ya muda akamzalia Yakobo mwana wa tano. 18 Kisha Lea akasema: “Mungu amenipa mshahara wangu* kwa sababu nimempa mume wangu kijakazi wangu.” Kwa hiyo akampa jina Isakari.*+
5 Kabila la Isakari litapiga kambi kando yake; mkuu wa wana wa Isakari ni Nethaneli+ mwana wa Zuari. 6 Wale walioandikishwa katika jeshi lake ni watu 54,400.+