Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 30:7, 8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Bilha, kijakazi wa Raheli, akapata mimba tena na kumzalia Yakobo mwana wa pili. 8 Kisha Raheli akasema: “Nimepigana mieleka mikali sana na dada yangu. Na pia nimeibuka mshindi!” Kwa hiyo akampa jina Naftali.*+

  • Mwanzo 46:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Wana wa Naftali+ walikuwa Yahzeeli, Guni, Yezeri, na Shilemu.+

  • Hesabu 2:29, 30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Kisha kabila la Naftali; mkuu wa wana wa Naftali ni Ahira+ mwana wa Enani. 30 Wale walioandikishwa katika jeshi lake ni watu 53,400.+

  • Hesabu 26:48
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 48 Wana wa Naftali+ kulingana na koo zao walikuwa: kutoka kwa Yahzeeli, ukoo wa Wayahzeeli; kutoka kwa Guni, ukoo wa Waguni;

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki