-
2 Mambo ya Nyakati 30:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Kisha wakamchinja mnyama wa Pasaka katika siku ya 14 ya mwezi wa pili. Makuhani na Walawi wakaona aibu, kwa hiyo wakajitakasa na kuleta dhabihu za kuteketezwa katika nyumba ya Yehova.
-